У нас вы можете посмотреть бесплатно Rais Ruto akutana na jamii ya kimataifa inayoishi Kenya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais William Ruto amethibitisha tena kujitolea kwa Kenya kuzingatia taratibu za kimataifa zinazozingatia sheria, akihimiza uungwaji mkono wa taasisi za kimataifa licha ya kudorora kwa utulivu duniani. Katika Hotuba yake ya kila mwaka ya Kidiplomasia kwa mabalozi na Mashirika ya Kimataifa katika Ikulu ya Nairobi, Ruto alisema Kenya inasalia kuwa mtetezi imara wa taratibu za kimataifa zinazozingatia sheria na kulinda uhuru na uadilifu wa Mataifa kama ilivyoainishwa katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive