У нас вы можете посмотреть бесплатно Hivi ni Vifaa 10 vya Ujenzi Vinavyo Uzwa Haraka Tanzania! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kuna kosa kubwa sana ambalo vijana wengi wanalifanya la kufungua biashara ya vifaa vya ujenzi. Wanafikiri kuwa na duka la vifaa vya ujenzi iliyojaa bidhaa mpaka juu ndio utajiri. Hapa ndipo unapoanguka. Ukijaza duka vifaa vya ujenzi ambavyo havitoki, huo sio mtaji tena, hiyo inaitwa "Dead Stock" au mtaji uliokufa wa biashara ya ujenzi. Siri ya utajiri kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi sio kuwa na kila kitu, bali ni kuwa na vifaa vya ujenzi vinavyotembea haraka kuliko unavyoweza kuagiza. Leo, sitakupa nadharia. Leo nakupa orodha kamili ya vifaa vya ujenzi. Hizi ni bidhaa 10 za bidhaa za ujenzi ambazo ukiziweka dukani kwako asubuhi, jioni lazima urudi kuagiza vifaa vingine vya ujenzi . How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo muhimu ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs