У нас вы можете посмотреть бесплатно DC Handeni aingilia kati kufukuzwa kazi wananchi 50 mgodi wa Magambazi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Siriel Mchembe ameingilia kati na kutoa mwezi mmoja kwa uongozi wa mgodi wa Dhahabu wa Magambazi kuwapatia stahiki zao wafanyakazi zaidi ya 50 ambao wamewafukuza ila kunyimwa barua zao ili kwenda kuchukua pesa zao kwenye mifuko wa jamii wa NSSF. Akizungumza baada ya kutembelea mgodi huo wa Magambazi akiwa na kamati ya ulinzi na usalama kuangalia jinsi uzalishaji dhahabu unavyoendelea,mkuu huyo wa wilaya amesema amepata malalamiko kuna wananchi na askari polisi wameondolewa kwenye mgodi lakini hawajalipwa stahiki zao,hivyo kuagizwa utatuzi kufanyika