У нас вы можете посмотреть бесплатно WACHIMBAJI WADOGO WATAKA MAENEO YA KUCHIMBA/WAZIRI MAVUNDE ATANGAZA KUFUTA LESENI 191 ZA GEITA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#mwangazatvupdates Waziri wa Madini Anthony Mavunde, amesema serikali imejipanga kikamilifu kukomesha uholela na uhodhi wa maeneo makubwa ya uchimbaji madini pasipo kufanyiwa kazi, akisisitiza kuwa leseni si pambo bali ni nyaraka zenye masharti yanayotakiwa kutekelezwa. Amesema safari hii anataka kuona wachimbaji wa ukweli wanaopeleka maendeleo kwenye maeneo yao, badala ya watu wanaomiliki leseni kwa sababu ya kutegesha au kusubiri wawekezaji.