У нас вы можете посмотреть бесплатно IBADA YA 1, SIKU MAALUMU YA KWAYA YA HOSANA CCT CHAPLAINCY UDSM. NOVEMBER 23, 2025. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UDSM CCT CHAPLAINCY ni Kanisa la umoja lililopo katika chuo kikuu cha Dar es Salaam TANZANIA. Kanisa hili linawaunganisha wanafunzi wote wa vyuo vikuu na vyuo vya kati vilivyopo katika mkoa wa Dar es Salaam TANZANIA wanaoabudu katika Makanisa wanachama wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT). UDSM CCT MEDIA ni kituo cha habari kilichoanzishwa na Kanisa la umoja la Chuo kikuu cha Dar es Salaam tarehe 19 Agosti 2021 ili kurusha Maudhui mbalimbali ya Kikristo (Matukio, Mafundisho na Mahubiri) yanayotolewa katika kanisa hili, tafadhali Usisahau ku-SUBSRIBE, LIKE, COMMENT na Ku-SHARE LINK kwa wengine pindi utazamapo video katika kituo chetu hiki cha habari. PIA UNAWEZA KUSHIRIKI NASI KATIKA IBADA ZETU KWA NJIA YA SADAKA KUPITIA VODACOM (MPESA): +255744-774 999, CRDB BANK 0150259509100 JINA: CCT CHAPLAINCY UDSM. UBARIKIWE.