У нас вы можете посмотреть бесплатно Ee Bwana Utuonyeshe Rehema | Wimbo wa Katikati | Dominika 19 A или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wimbo wa katikati Dominika ya 19 mwaka A Jumapili ya tarehe 9/8/2020 Zaburi: 85 Mtunzi: Melchior Basil Syote https://www.swahilimusicnotes.com/wim... Waimbaji ni baadhi ya wanakwaya wa St Paul's Students Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi Karibu kutazama wimbo wa katikati kila wiki pamoja na nyimbo nyingine za kwaya katoliki Kenya na Tanzania katika channel hii Please like, share and subscribe lest you miss out our next uploads. MANENO YA WIMBO Ee Bwana utuonyeshe rehema zako (Ee Bwana) utupe wokovu wako x 2 Na nisikie atakavyosema Mungu Bwana, maana atawaambia watu wake amani / hakika wokovu wake u karibu na wamchao, utukufu ukae katika nchi yetu. Fadhili na kweli zimekutana, haki na amani zimebusiana / kweli imechipuka katika nchi, haki imechungulia kutoka mbinguni. Naam, Bwana atatoa kilicho chema, na nchi yetu itatoa mazao yake / haki itakwenda mbele zake, nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.