У нас вы можете посмотреть бесплатно TIBU Presha Kisukari - Bila Dawa / INAWEZEKANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika video hii nimezungumzia utafiti muhimu unaoonesha kwamba mabadiliko ya mtindo wa maisha yanaweza kusaidia kuzima kabisa kisukari (Diabetes Mellitus) na shinikizo la damu (Hypertension) bila kutegemea dawa. 🥗🏃♂️💪 Je, unajua unaweza kuwa na afya bora bila dawa? Tazama video hii ujifunze mbinu za maisha zitakazokusaidia kufuta shinikizo la damu na kisukari kwa njia ya asili. ✨ Afya yako iko mikononi mwako – chukua hatua leo! 🔔🔔🔔🔔🔔🔔 USHAURI BINAFSI / PRIVATE CONSULTATION 🔔🔔🔔🔔🔔🔔 🎯Kama ungependa Tujadili tatizo lako la afya moja kwa moja na mimi, unaweza kupanga mazungumzo ya ushauri binafsi. 🎯Katika mazungumzo hayo nitachukua muda kusikiliza kwa makini, kuelewa hali yako, na kukupa mwongozo wa kitaalamu unaokufaa. 🎯Kwa sababu ya ratiba yangu ya hospitalini, ninaweza kupokea idadi ndogo tu ya mazungumzo ya ushauri kila wiki. Gharama ya ushauri: TSh 25,000. Text Now 📱 WhatsApp: +255 673-37-38-39 To Book Consultation #sukari #Presha #Daniel #danthedoc #dr Daniel #LisheBora #ShinikizoLaDamu #Kisukari #AfyaNjema #MatibabuAsilia #BilaDawa #MagonjwaSugu #UtafitiWaAfya #MabadilikoYaMaisha #MazoeziYaMwili #ChakulaBora #KingaYaMagonjwa #AfyaYaMwili #AfyaNaLishe #KuwaNaAfya #KuishiBilaDawa #Uzima #AfyaBora #KudhibitiShinikizo #KudhibitiKisukari #AfyaZaidi #FurahaNaAfya #MtindoWaMaisha