У нас вы можете посмотреть бесплатно Maswali Mazito Kuhusu Pasaka na Mwafrika | Na Prince Katega II | Ukweli Uliofichwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kipindi hiki maalum cha Maswali Mazito, tunazungumza na mwanaharakati Prince Katega II kuhusu maana halisi ya Pasaka kwa Mwafrika. Tunaangazia maswali yanayozua fikra mpya kama: Je, Pasaka ina uhusiano gani na urithi wa Mwafrika? Ni kwa namna gani fikra za kiukombozi zinaweza kufufuka ndani ya Pasaka? Je, bado tupo kwenye minyororo ya kiakili kupitia imani tuliorithi? Karibu ujifunze, ujiulize na ujadili kwa kina. Subscribe kwa UNITED KINGDOMS OF AFRIKA kwa vipindi zaidi vya kutafakari, historia na ukombozi wa ki-Afrika. #MaswaliMazito #PasakaNaMwafrika #PrinceKategaII #UkomboziWaFikra #UkweliWaAfrika #HistoriaIliyofichwa #AfricaUnchained #Chionda