У нас вы можете посмотреть бесплатно MATENDO YAKO YATAKUFUATA / REV. DR. ELIONA KIMARO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA: IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU) 01/06/2025 UJUMBE WA LEO: " MATENDO YAKO YATAKUFUATA" Mathayo 25 : 31 - 45 31 Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake; 32 na mataifa yote watakusanyika mbele zake; naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi; 33 atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto. 34 Kisha Mfalme atawaambia wale walioko mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu; 35 kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha; 36 nalikuwa uchi, mkanivika nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia. 37 Ndipo wenye haki watakapomjibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona una njaa, tukakulisha, au una kiu tukakunywesha? 38 Tena ni lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika? 39 Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia? 40 Na Mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambia, kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi. 41 Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake; 42 kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe; 43 nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike; nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama. 44 Ndipo hao pia watajibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona wewe una njaa, au una kiu, au u mgeni, au u uchi, au u mgonjwa, au u kifungoni, tusikuhudumie? 45 Naye atawajibu, akisema, Amin, nawaambia, Kadiri msivyomtendea mmojawapo wa hao walio wadogo, hamkunitendea mimi. HOJA ZA KIFALSAFA NA KITHEOLOJIA: 1.MATENDO YANATABIA YA KUMFUATA MTU HAPA DUNIANI NA MBINGUNI UFUNUO 14:13 2.MATENDO MEMA YA MORDEKAI NA MATENDO MABAYA YA HAMANI ESTA 6-8 MATENDO MEMA YA RAHABU KAHABA YALIPONYA FAMILIA YAKE: YOSHUA 2 & 6 (MAMBO YANAYOTARAJIWA KUFA HAYATAKUFA) MATENDO MEMA YA RUTHU MMOABU ALIZAA WAFALME WA ISRAEL 🇮🇱 RUTHU 1 - 4 (UHAKIKA WA KUZALISHA VITU VYA VIWANGO VINAVYOKUBALIKA ULIMWENGUNI.) 5. WANAWAKE WAWILI WATOTO WAO WALIFUFULIWA TOKA KWA WAFU. .....MAMA MJANE WA SAREPTA WAKATI WA NABII ELIYA ( 1WAFALME 17:1 - 24 ......MAMA MSHUNAMI WAKATI WA NABII ELISHA. 2WAFALME 4:8-37 (VITU VYAKO VILIVYOKUFA VINAWEZA KUFUFULIWA TENA) 6. LAZARO ALIFUFULIWA TOKA KWA WAFU YOHANA 11: 1 - 44 ( MAMBO YA FAMILIA YALIYOKUFA VINAWEZA KUFUFUKA TENA) DORKAS ALIFUFULIWA TOKA KWA WAFU. MATENDO 9:36 -42 (KUJAA MATENDO MEMA NA SADAKA KUNATENGENEZA MAISHA YA MARA NYINGINE TENA) .......WORLDWIDE SURVIVERS Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053 +255 754 516 053