У нас вы можете посмотреть бесплатно B DOZEN - "GODZILLA ALINIAGA / SIJUI HATA NISEME NINI" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
B DOZEN - "GODZILLA ALINIAGA / SIJUI HATA NISEME NINI" Taarifa iliyotufikia hivi punde ni kuhusiana na Tasnia ya Bongo Fleva kupata pigo baada kuondokewa na Rapa maarufu nchini, Godzilla ambaye amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano, Februari 13, 2019 akiwa nyumbani kwao, maeneo ya Salasala, Dar es Salaam. Global TV imefika msibani na kuzungumza na Mtangazaji wa Clouds FM, Hamis Mandi 'B Dozen' , ambaye kupitia kipindi chao cha Bongo Fleva walianzisha michuano ya ku freestyle ambayo Godzilla alishirika na ndipo mwanga wake kwenye muziki ukaanza kuonekana. #RIPGODZILLA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho