У нас вы можете посмотреть бесплатно DONDOO NA Reggae....Valentines day special pt1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu sana kutoka popote ulipo, iwe una mpenzi, huna mpenzi, au bado unajitafuta, karibu kwenye Dondoo na Reggae. Happy Valentine’s Day my people. Kwa wengine, hii ni siku ya maua, zawadi na maneno matamu. Hapa kwetu ni tofauti, mimi pamoja na team yangu tunasema mapenzi ni zaidi ya tarehe. Mapenzi ni tabia. Ni jambo la kila siku. Mapenzi yasiyosubiri kalenda. Huhitaji kusubiri Valentine ndiyo useme unampenda, unamjali,unamwitaji au unamthamini. Team yangu inasema kuwa hayo yote ni muhimu Kuiambia nafsi yako kwanza kila siku. Once again, karibu kwenye Dondoo na Reggae, Mapenzi ya kweli, yanaanza na wewe. Kaa nasi hadi mwisho, lakini pia tunahitaji kuona uwepo wako kwenye mitandao yetu yote ya kijamii. Tufuatilie Instagram, X na Facebook kupitia @kwanzaproduction @kwanzaradioonline Na mimi unaweza kunipata kwenye Instagram, Facebook na hata X kama @mutwiba LinkedIn napatikana kama Mubelwa Bandio.