У нас вы можете посмотреть бесплатно MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA BAADA YA KUJIUNGA NA CCM, ATAJA SABABU ZILIZOMFANYA AONDOKE CHADEMA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa ametoa sababu mbalimbali zilizomfanya akachukua uamuzi wa kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), kubwa ni utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuwaunganisha Watanzania. Mchungaji Msigwa amesema hay leo Jumapili, Juni 30, 2024, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyikia Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba akiwa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla. Ni saa chache kupita tangu alipojiunga na CCM mbele ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Ikulu jijini Dar es Salaam.