У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT. BASHIRU ACHARUKA MNADA WA BUZIRAYOMBO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amesikitishwa na hali ya utekelezaji wa shughuli za mnada wa kimataifa wa Mifugo wa Buzirayombo uliopo Chato mkoani Geita. Balozi Dkt. Bashiru ameonesha masikitiko hayo mara baada ya kufika na kukagua hali ya mnada huo Januari 04,2026 ambapo mbali na kutoridhishwa na hali ya mazingira ya mnada huo ameshangazwa kwa kutotumia mizani wakati wa uuzaji wa mifugo. “Nataka ndani ya wiki mbili kuanzia leo mnada huu uwe na maji kwa sababu tenki lipo, miundombinu ipo imara, chanzo cha maji yanapotoka kipo lakini pia tuna akiba ya tenki la chini halafu hakuna maji kwenye mradi mkubwa wa namna hii wa Bil. 4, kwanza hatukustahili kuanza kuutumia bila mfumo wa maji kukamilika” Amesisitiza Balozi Dkt. Bashiru.