• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Matukio ya Ajabu Kwenye Sherehe za Uhuru 2025! скачать в хорошем качестве

Matukio ya Ajabu Kwenye Sherehe za Uhuru 2025! 2 месяца назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Matukio ya Ajabu Kwenye Sherehe za Uhuru 2025!
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Matukio ya Ajabu Kwenye Sherehe za Uhuru 2025! в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Matukio ya Ajabu Kwenye Sherehe za Uhuru 2025! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Matukio ya Ajabu Kwenye Sherehe za Uhuru 2025! в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Matukio ya Ajabu Kwenye Sherehe za Uhuru 2025!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema falsafa ya Mwenge wa Uhuru imekuwa dira inayoendeleza dhamira ya kuhamasisha uzalendo na ujasiri wa kupambana na maovu katika jamii na kuleta amani, upendo, maendeleo na mshikamano katika Taifa la Tanzania na Mataifa mengine. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akihutubia katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Kumbukizi ya Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa kwa Mwaka 2025 zilizofanyika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Amesema kupitia falsafa hiyo, nchi imefanikiwa katika mambo mengi ikiwemo kuondoa ubaguzi, ukabila, na kujenga umoja wa kitaifa, kuimarisha utawala bora, kupinga dhuluma, dharau, chuki na kupambana na ufisadi na rushwa. Makamu wa Rais ameongeza kwamba Mwenge wa uhuru ulipoasisiwa ulilenga kuidhihirishia dunia na kuonesha mfano kwa Mataifa yaliyokuwa bado chini ya udhalimu wa kikoloni, maana ya Taifa huru na uwezo wa kujitawala pasipo kuingiliwa na mtu mtu yeyote. Makamu wa Rais ametoa wito kwa Watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura, kushiriki katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea ili kusikiliza sera za vyama mbalimbali, na kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi ili kuwachagua viongozi watakaoongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo kama ambavyo Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025 zilivyobeba ujumbe wa kuhamasisha wananchi kushiriki katika Uchaguzi Mkuu. Katika kumbukizi ya Miaka 26 tangu kifo cha Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Makamu wa Rais amesema ili kuendelea kuenzi maisha na mchango mkubwa wa Baba wa Taifa, Watanzania wote ni vema kusimamia misingi mikuu aliyotuachia Mwl. Julius Nyerere. Ametaja misingi hiyo ikiwemo kulinda uhuru wa Taifa pamoja na kudumisha umoja na amani na kusimamia haki miongoni mwa jamii, kujenga na kuimarisha maadili mema katika jamii hususan miongoni mwa vijana ambao ndiyo Taifa la sasa na la kesho. Pia ameongeza kwamba misingi mingine ya kusimamia ni pamoja na kuwajibika kwa kila mwananchi kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha maisha na kuinua vipato na hivyo kuchangia katika ujenzi wa Taifa pamoja na uhifadhi na utunzaji wa mazingira, hususan kulinda vyanzo vya maji, upandaji wa miti na kufanya usafi wa mazingira, mambo ambayo Baba wa Taifa alikuwa mfano bora wa kuigwa. Akihitimisha Wiki ya Vijana Kitaifa mwaka 2025, Makamu wa Rais ametoa rai kwa vijana, kuendelea kutumia ubunifu, maarifa na nguvu zao vizuri zaidi na Serikali inawaamini na itawaunga mkono. Amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye elimu, ujuzi, teknolojia, ubunifu, michezo na utamaduni ili kuwajengea vijana uwezo wa kushiriki katika shughuli za kiuchumi na kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza. Aidha, Ilani ya Uchaguzi ya CCM (2025 – 2030) imeweka lengo la kuanzisha vituo vya uwezeshaji vijana kiuchumi katika mikoa, pamoja na kuzalisha ajira kwa vijana zipatazo milioni 8.5 ifikapo 2030. Kwa upande wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuyatenda maono ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa vitendo, kwa kuimarisha uchumi wa Taifa, kukuza heshima ya Tanzania kimataifa, na kulinda amani na umoja wa Watanzania. Ameongeza kuwa ni jukumu la kila mtanzania kuenzi urithi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wa uadilifu, uwajibikaji na uongozi wa kujituma kwa ajili ya watu, kuendeleza mapambano dhidi ya umaskini, ujinga na maradhi. Awali akisoma risala ya kuhitimisha Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2025, Kiongozi wa mbio hizo Ismail Ali Ussi amesema wananchi wanamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mitambo ya kuchimbia visima ambayo imesaidia katika upatikanaji wa huduma za maji safi na salama. Pia amesema wananchi wamemshukuru Rais kwa ongezeko la mshahara ambalo limeboresha ustawi wa wafanyakazi na kuongeza ari ya ufanyaji kazi kwa watumishi wa umma nchini iliyopelekea wananchi kupata huduma bora. Amesema Mwenge wa Uhuru 2025 umekagua miradi ya vijana walionufanika na mikopo ya asilimia kumi ambapo wameshukuru kwa kurejesha mikopo hiyo ambayo imesaidia kupata mitaji ya kuanzisha na kuendeleza biashara. Aidha amesema Vijana wamemshukuru Rais kwa kuanzisha shule za amali hapa nchini na kujenga uendelezaji Vyuo vya Veta nchini. Amesema uanzishaji wa Vyuo na Shule utasaidia vijana kupata ujuzi mbalimbali na kujiajiri kupitia juzi mbalimbali ikiwemo kutumia sayansi na teknolojia katika kutafuta utengenezaji wa bidhaa na kutafuta masoko ya bidhaa na malighafi.

Comments
  • 🔴#TBCLIVE: MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025 Трансляция закончилась 2 месяца назад
    🔴#TBCLIVE: MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025
    Опубликовано: Трансляция закончилась 2 месяца назад
  • Orędzie noworoczne Prezydenta RP 6 часов назад
    Orędzie noworoczne Prezydenta RP
    Опубликовано: 6 часов назад
  • ⚡️ Зеленский запросил переговоры с Путиным || Срочная эвакуация в Украине 22 часа назад
    ⚡️ Зеленский запросил переговоры с Путиным || Срочная эвакуация в Украине
    Опубликовано: 22 часа назад
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAMULIKA MIRADI WILAYANI MOMBA 2 месяца назад
    MWENGE WA UHURU 2025 WAMULIKA MIRADI WILAYANI MOMBA
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • HII NDIO TAFSIRI YA MWENGE INAYOWASUMBUA WENGI 6 лет назад
    HII NDIO TAFSIRI YA MWENGE INAYOWASUMBUA WENGI
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Полиция задержала 23 мотоцикла в Унгудже 2 месяца назад
    Полиция задержала 23 мотоцикла в Унгудже
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Адмирал Джихат Яйджы предупредил: обратите внимание на соглашение Ливии и Пакистана 6 дней назад
    Адмирал Джихат Яйджы предупредил: обратите внимание на соглашение Ливии и Пакистана
    Опубликовано: 6 дней назад
  • Prezydent Nawrocki: wybierając mnie, Polacy wyraźnie pokazali, że nie podoba im się ten rząd! 6 часов назад
    Prezydent Nawrocki: wybierając mnie, Polacy wyraźnie pokazali, że nie podoba im się ten rząd!
    Опубликовано: 6 часов назад
  • Пока мир готовится к войне, на море появился скрытый козырь Турции 13 дней назад
    Пока мир готовится к войне, на море появился скрытый козырь Турции
    Опубликовано: 13 дней назад
  • UISLAMU HAURUHUSU MWANAMKE KUWA KIONGOZI WA NCHI. (SHEIKH KHALIFA KHAMIS) 5 месяцев назад
    UISLAMU HAURUHUSU MWANAMKE KUWA KIONGOZI WA NCHI. (SHEIKH KHALIFA KHAMIS)
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • Banco Master expõe promiscuidade entre STF e poder financeiro | CAFÉ COM A GAZETA 6 дней назад
    Banco Master expõe promiscuidade entre STF e poder financeiro | CAFÉ COM A GAZETA
    Опубликовано: 6 дней назад
  • ZANZIBAR KUZALISHA UMEME WA UPEPO 2 месяца назад
    ZANZIBAR KUZALISHA UMEME WA UPEPO
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • KANGANI WAMUUNGA MKONO DK. MWINYI 1 год назад
    KANGANI WAMUUNGA MKONO DK. MWINYI
    Опубликовано: 1 год назад
  • MAAGIZO YA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE MRADI WA MBALA KAMBARAGE SONGWE. 3 года назад
    MAAGIZO YA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE MRADI WA MBALA KAMBARAGE SONGWE.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Maajabu Ya ULINZI MKALI Wa Rais SAMIA Akikabidhi ZAWADI kwa Washindi Wa QUR'AN / WATINGA NA MABAIBUI 1 год назад
    Maajabu Ya ULINZI MKALI Wa Rais SAMIA Akikabidhi ZAWADI kwa Washindi Wa QUR'AN / WATINGA NA MABAIBUI
    Опубликовано: 1 год назад
  • PHILIP MPANGO AKIHUTUBIA MKUTANO MKUU WA UMOJA WA MATAIFA (UNGA) 3 месяца назад
    PHILIP MPANGO AKIHUTUBIA MKUTANO MKUU WA UMOJA WA MATAIFA (UNGA)
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • #TAZAMA KAMISHNA WA CHUO CHA MAFUNZO ALIVYO UPOKEA MWENGE WA UHURU LEO TAREHE 22/6/2025. 6 месяцев назад
    #TAZAMA KAMISHNA WA CHUO CHA MAFUNZO ALIVYO UPOKEA MWENGE WA UHURU LEO TAREHE 22/6/2025.
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • MOTO HOTUBA KUBWA YA RAIS MWINYI  YAFICHUA SIRI! 2 месяца назад
    MOTO HOTUBA KUBWA YA RAIS MWINYI YAFICHUA SIRI!
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Magazeti ya leo 31/12/25,CHADEMA TUNAKUJA HIVI 2026,VIGOGO 5 MATATANI ARDHI,KUNGO YANGA ASEPA 19 часов назад
    Magazeti ya leo 31/12/25,CHADEMA TUNAKUJA HIVI 2026,VIGOGO 5 MATATANI ARDHI,KUNGO YANGA ASEPA
    Опубликовано: 19 часов назад
  • Адмирал Джихат Яйчи: сообщение туркменского командира из Сирии 4 дня назад
    Адмирал Джихат Яйчи: сообщение туркменского командира из Сирии
    Опубликовано: 4 дня назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5