У нас вы можете посмотреть бесплатно Wakazi (feat. Godzilla, Mwasiti & Atan) - Kabila Letu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
“Kabila Letu” single mpya kutoka katika album ya BEBERU (Declaration) ya Wakazi, akimshirikisha Mwasiti, Atan na merehemu Godzilla (R.I.P). Wimbo unazungumzia complexity za mahusiano ya watu ambao wanafanana kulingana na shughuli zinazoshabihiana, kushindwa kuja pamoja au kufanya hivyo when it is too late. Pia mara nyingi ambavyo tunashindwa kutambua kuwa nyie ni Kabila Moja, not in sense ya tribalism but likings, purpose, and perspectives. Wakazi na Godzilla walianza kama collaborators, then wakawa marafiki japo sio karibu sana, ila wakageuka maadui. Ni muda mfupi tu baada ya ku reconcile na kupanga kufanya tena kazi pamoja, Godzilla akafariki, hivyo wimbo ukachukua sura mpya, with Mwasiti and Atan capturing the emotional that Wakazi wished to evoke. The song was produced by Pallah Midundo, recorded by Ommy Daddy, mixed & mastered by Innocent Mujwahuki.