• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Je Mama anayenyonyesha anaweza kupata Mimba?? | Mambo matatu (3) ya kujua ili usipate Ujauzito!! скачать в хорошем качестве

Je Mama anayenyonyesha anaweza kupata Mimba?? | Mambo matatu (3) ya kujua ili usipate Ujauzito!! 5 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Je Mama anayenyonyesha anaweza kupata Mimba?? | Mambo matatu (3) ya kujua ili usipate Ujauzito!!
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Je Mama anayenyonyesha anaweza kupata Mimba?? | Mambo matatu (3) ya kujua ili usipate Ujauzito!! в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Je Mama anayenyonyesha anaweza kupata Mimba?? | Mambo matatu (3) ya kujua ili usipate Ujauzito!! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Je Mama anayenyonyesha anaweza kupata Mimba?? | Mambo matatu (3) ya kujua ili usipate Ujauzito!! в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Je Mama anayenyonyesha anaweza kupata Mimba?? | Mambo matatu (3) ya kujua ili usipate Ujauzito!!

Kuna baadhi ya akina Mama wanaonyonyesha hujishtukia tayari wana Mimba nyingine ndani ya miezi 6 tokea wajifungue hii ni kwa sababu wanashindwa kujua vigezo ambavyo vitawafanya wao wasitumie/watumie uzazi wa mpango na wasipate ujauzito katika kipindi cha kunyonyesha hususani kwa Miezi 6 ya mwanzo ya watoto wao na wao kunyonyesha! Endapo utanyonyesha na utakidhi vigezo hivyo basi inawezekana ukapunguza uwezekano wa kupata Mimba kwa asilimia nyingi sana kwa kipindi hicho. Tafiti zinaonesha kwamba 1% - 2% ndio huweza kupata Mimba endapo watafuata na kukidhi vigezo hivi vitatu (3) ambapo huweza kuzuia uwezekano wa kupata Mimba kwa 98% - 99% bila kutumia njia nyingine zozote za uzazi wa mpango kwenye Miezi 6 ya mwanzo tokea wajifungue. Vigezo unavyotakiwa kuwa navyo wewe kama Mama unanyonyesha ili usipate Mimba hali yakuwa hutumii njia yoyote ya uzazi wa mpango ni kama vifuatavyo; 1. Hakikisha Mtoto wako ana umri chini ya Miezi 6. 2. Hakikisha unanyonyesha Maziwa yako wewe Mama tu bila kuongeza maji wala Uji na nk, katika Miezi sita hii ya Mwanzo! Unanyonyesha mtoto maziwa yako kila baada ya masaa 2 - 4 kwa mchana na masaa 4 - 6 na mtoto ananyonya mpaka anaacha mwenyewe! 3. Hakikisha hupati hedhi kwa maana kwamba huoni siku zako katika kipindi hicho. Kuna baadhi akina mama wanaweza kuanza kutokwa na damu katika vipindi fulani fulani hususani mwezi 1 au 2 tokea wajifungue na hii haimaanishi kwamba ni hedhi. Muhimu: Kitu kingine ni kwamba hakikisha kwamba Mtoto hanywi maziwa ya kununua dukani yani anategemea maziwa yako tuu! ❌Kama hujakidhi vigezo hivyo hapo juu basi kuna uwezekano wa hatari ya kupata Ujauzito kwa 1% - 10% katika kipindi hichi cha Miezi 6 ambapo unanyonyesha maziwa na hutumia uzazi wa mpango! Ili kuepuka kupata Ujauzito basi utatakiwa kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango wiki 3 Mara baada ya kujifungua na endapo umefikisha miezi 6 basi utatakiwa kuchagua njia ya uzazi wa mpango inayokufaa ili kuepuka kupata Mimba zisizo pangwa na mwisho wa siku kuanza kupata shida au kutoa Mimba ambayo ni hatari kwa afya yako na pia ni kosa kisheria! Subscribe,Comment and Share NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇    / drmwanyika   Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube). Subscribe,Comment and Share JapideAfya_Services Your Health is Our Health Instagram as @JapideAfya_Services Facebook page as @JapideAfya_Services ©Dr.Mwanyika. #MamaAfya #Mimbawakatikunyonyesha #Ujauzito

Comments
  • Je Mjamzito Mwenye Kichanga Anaweza Kunyonyesha Mpaka Lini? | Kubemenda Mtoto Mchanga! 2 года назад
    Je Mjamzito Mwenye Kichanga Anaweza Kunyonyesha Mpaka Lini? | Kubemenda Mtoto Mchanga!
    Опубликовано: 2 года назад
  • HATARI YA KUPATA UJAUZITO UKIWA NA MTOTO MCHANGA 2 года назад
    HATARI YA KUPATA UJAUZITO UKIWA NA MTOTO MCHANGA
    Опубликовано: 2 года назад
  • Jinsi ya kuzuia kupata Mimba bila kutumia Dawa za Uzazi wa Mpango.|Je Uzazi wa Mpango asilia ni upi? 3 года назад
    Jinsi ya kuzuia kupata Mimba bila kutumia Dawa za Uzazi wa Mpango.|Je Uzazi wa Mpango asilia ni upi?
    Опубликовано: 3 года назад
  • Sikiliza: Unaweza Kupata Mimba Baada Ya Kumeza P2? Uzazi WA Mpango WA Dharura. 10 месяцев назад
    Sikiliza: Unaweza Kupata Mimba Baada Ya Kumeza P2? Uzazi WA Mpango WA Dharura.
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • TENDO LA NDOA BAADA YA KUJIFUNGUA 2 года назад
    TENDO LA NDOA BAADA YA KUJIFUNGUA
    Опубликовано: 2 года назад
  • 𝐍𝐉𝐈𝐀 𝐙𝐀 𝐔𝐇𝐀𝐊𝐈𝐊𝐀 𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐌𝐀𝐏𝐀𝐂𝐇𝐀 1 год назад
    𝐍𝐉𝐈𝐀 𝐙𝐀 𝐔𝐇𝐀𝐊𝐈𝐊𝐀 𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐌𝐀𝐏𝐀𝐂𝐇𝐀
    Опубликовано: 1 год назад
  • HIZI HAPA NJIA TANO ZA UZAZI WA MPANGO ZA UHAKIKA ZISIZO NA MADHARA UNGANA NA DR.SULLE 4 года назад
    HIZI HAPA NJIA TANO ZA UZAZI WA MPANGO ZA UHAKIKA ZISIZO NA MADHARA UNGANA NA DR.SULLE
    Опубликовано: 4 года назад
  • Siri Ya Kuachisha Mtoto Kunyonyesha Haraka NA Rahisi, Mbinu 10 4 месяца назад
    Siri Ya Kuachisha Mtoto Kunyonyesha Haraka NA Rahisi, Mbinu 10
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • HII NDIO NJIA BORA YA UZAZI WA MPANGO #uzazi 1 год назад
    HII NDIO NJIA BORA YA UZAZI WA MPANGO #uzazi
    Опубликовано: 1 год назад
  • Jinsi Gani Ya Kumlaza Mtoto Mchanga! (Njia Bora ya kumlaza kichanga) 3 года назад
    Jinsi Gani Ya Kumlaza Mtoto Mchanga! (Njia Bora ya kumlaza kichanga)
    Опубликовано: 3 года назад
  • Muda sahihi wa Tendo la ndoa baada ya kujifungua 3 года назад
    Muda sahihi wa Tendo la ndoa baada ya kujifungua
    Опубликовано: 3 года назад
  • Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika! 2 месяца назад
    Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • KUNYONYESHA KAMA NJIA YA KUPANGA UZAZI: Mama anayenyonyesha anaweza kupata mimba 3 года назад
    KUNYONYESHA KAMA NJIA YA KUPANGA UZAZI: Mama anayenyonyesha anaweza kupata mimba
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Muda Wa Kufanya Tendo la Ndoa Baada Ya Kujifungua Kwa Upasuaji Ni Lini? (Mapenzi Baada Ya Kuzaa). 3 года назад
    Je Muda Wa Kufanya Tendo la Ndoa Baada Ya Kujifungua Kwa Upasuaji Ni Lini? (Mapenzi Baada Ya Kuzaa).
    Опубликовано: 3 года назад
  • UKWELI KUHUSU KUBEMENDA MTOTO | AFYA PLUS EP 2 6 лет назад
    UKWELI KUHUSU KUBEMENDA MTOTO | AFYA PLUS EP 2
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Je KWIKWI Kwa Mtoto Mchanga Husababishwa Na Nini?? (Hizi Ni Sababu 11 za Kwikwi Kwa Kichanga Wako). 3 года назад
    Je KWIKWI Kwa Mtoto Mchanga Husababishwa Na Nini?? (Hizi Ni Sababu 11 za Kwikwi Kwa Kichanga Wako).
    Опубликовано: 3 года назад
  • Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa 3 месяца назад
    Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • Je Kichanga WA Kiume Huweza Kuathiriwa Uzazi NA Pampasi? 11 месяцев назад
    Je Kichanga WA Kiume Huweza Kuathiriwa Uzazi NA Pampasi?
    Опубликовано: 11 месяцев назад
  • MCL DOCTOR, DEC 18, 2017: SIKU HATARI ZA MWANAMKE KUSHIKA UJAUZITO 8 лет назад
    MCL DOCTOR, DEC 18, 2017: SIKU HATARI ZA MWANAMKE KUSHIKA UJAUZITO
    Опубликовано: 8 лет назад
  • NI SALAMA KUNYONYESHA UKIWA MJAMZITO? ? 3 года назад
    NI SALAMA KUNYONYESHA UKIWA MJAMZITO? ?
    Опубликовано: 3 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5