У нас вы можете посмотреть бесплатно RARUENI MIOYO YENU (HUTAKUWA NA AIBU TENA) / REV. DR. ELIONA KIMARO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU 18/02/2026 MAFUNGO YA KWARESMA 2026. SIKU YA 1 "RARUENI MIOYO YENU" (HUTAKUWA NA AIBU TENA) Yoeli 2 : 15 - 20 15 Pigeni tarumbeta katika Sayuni, Takaseni saumu, kusanyeni kusanyiko kuu; 16 Kusanyeni watu, litakaseni kusanyiko, Kusanyeni wazee, kusanyeni watoto, Na hao wanyonyao maziwa; Bwana arusi na atoke chumbani mwake, Na bibi arusi katika hema yake. 17 Hao makuhani, wahudumu wa Bwana, na walie Kati ya patakatifu na madhabahu, Na waseme, Uwaachilie watu wako, Ee Bwana, Wala usiutoe urithi wako upate aibu, Hata mataifa watawale juu yao; Kwani waseme kati ya watu, Yuko wapi Mungu wao? 18 Hapo ndipo Bwana alipoona wivu kwa ajili ya nchi yake, akawahurumia watu wake. 19 Bwana akajibu, akawaambia watu wake; Tazameni, nitawaletea nafaka, na divai, na mafuta, nanyi mtashiba kwa vitu hivyo; wala sitawafanya tena kuwa aibu kati ya mataifa; 20 lakini jeshi lililotoka kaskazini nitaliondolea mbali nanyi, nami nitalifukuza mpaka nchi ya ukame na ukiwa; sehemu yake iliyo mbele itaingia katika bahari ya mashariki, na sehemu yake iliyo nyuma itaingia katika bahari ya magharibi; na uvundo wake utapanda juu, na harufu yake mbaya itapanda juu, kwa sababu ametenda mambo makubwa. HOJA ZA KITHEOLOJIA NA KIFALSAFA: 1. KURARUA MIOYO NI TOBA YA NDANI ILIYOBEBA UPONYAJI WA NDANI (INNER HEALING)... KUTUBU DHAMBI ZA SIRI ZA MOYONI MWAKO. 2. HUTAKUWA AIBU TENA... IKUMBUKWE CHANGAMOTO YA KWANZA AMBAYO ADAMU NA HAWA WALIKUTANA NAYO NI AIBU ILIYOWAPELEKEA KUJIFICHA. 3. MUNGU ALIITA KATIKA BUSTANI YA EDENI ..."ADAMU UKO WAPI?" Mwanzo 3 : 7 - 10 7 Wakafumbuliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wa uchi, wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo. 8 Kisha wakasikia sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone. 9 Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? 10 Akasema, Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha. =》DHAMBI HUWA INAMUONDOA MTU KWENYE NAFASI =》DHAMBI HUWA INAMTENGA MTU NA MUNGU. Isaya 59 : 2 2 lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia. =》NEEMA YA MUNGU YATUFUNDISHA KUKATAA UBAYA WA KILA AINA. Mhubiri: Mch. Dkt. Eliona Kimaro Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053