У нас вы можете посмотреть бесплатно PAMBANO KAMILI: HASSAN MWAKINYO vs TSHIBANGU KAYEMBE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mabondia Hassan Mwakinyo (Tanzania) na Tshibangu Kayembe (DRC) wamepambana alfajiri ya Agosti 15, 2020 katika ukumbi wa Mlimani City kuwania ubingwa wa WBF Inter Continental Super Welter. Pambano ni mizunguko 12 na limemalizika kwa Mwakinyo kupata ushindi wa pointi kutoka kwa majaji wote watatu. Pambano lilikuwa MUBASHARA kupitia #AzamSports2 Furahia matangazo ya pambano zima tangu kuingia kwa mabondia hao hadi kumalizika kwa mahojiano baada ya pambano. Pia unaweza kutazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: / azamtvtz ►INSTAGRAM: / azamsports2 ►TWITTER: / azamtvtz ►FACEBOOK: / azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz