У нас вы можете посмотреть бесплатно MGOMBEA URAIS SALUM MWALIMU APOKELEWA NA VIJANA WA BODABODA ARUSHA, AAHIDI MAJI ARUMERU. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MGOMBEA URAIS SALUM MWALIMU APOKELEWA NA VIJANA WA BODABODA ARUSHA, AAHIDI MAJI ARUMERU. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepokelewa kwa shangwe na vijana wa bodaboda alipowasili mkoani Arusha kuendelea na kampeni zake za urais. Katika mkutano wake na wakazi wa Arumeru, Salum Mwalimu ameahidi kutatua changamoto ya maji safi na salama kwa wananchi wa eneo hilo, akisema maji ni haki ya msingi kwa wananchi nakuahidi ndani ya miaka mitatu ya uongozi wake endapo atapata ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais atamaliza Changamoto hiyo.