У нас вы можете посмотреть бесплатно ‘BWEGE’ AKINUKISHA BUNGENI, ASAPOTI WARAKA WA MAASKOFU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MBUNGE BUNGARA: "Nchi Imeharibika, Hakuna Amani, Nasapoti waraka wa Maaskofu" Mbunge wa Kilwa Kusini, Said Bungara (CUF), amesema hakubaliani na kipengele kilichopo kwenye hotuba ya waziri mkuu, Kassim Majaliwa, kinachoeleza kuwa nchi yetu ina amani sana. Mbunge Bungara amesema hakubaliani na kipengele hicho kutokana na matukio mawili yaliyotokea jimboni kwake, tukio la msikiti kuvamiwa na mtu mmoja kupoteza maisha na mwingine kubaki na ulemavu wa macho, huku tukio lingine ni lile la mtu kuchukuliwa katika mazingira ya kutatanisha na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi ambapo mpaka leo watu wawili hawajajulikana walipo. Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .