У нас вы можете посмотреть бесплатно FUATENI TARATIBU HIZI ILI MUWEZE KUPATA HATI MILIKI...MKURUGENZI AFUNGUKA MWANZO MWISHO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Na Cyprian Magupa Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Ardhi Mtaji ya Mkoani Mwanza kupitia kwa Mkurugenzi wake Athuman Nassoro ameendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya masuala mbalimbali yahusuyo ardhi ili kupunguza migogoro sambamba na kuijengea uwezo jamii juu ya masuala ya ardhi. Akizungumza na daily news digital katika maonyesho ya nane nane kwenye viwanja vya Nyamuhongoro Nassoro amesema moja ya sababu itakayosaidia kupunguza migogoro ya ardhi ni kuongezwa kwa vyuo vya ardhi ambavyo vitazalisha watalaam wengi huku akitoa somo kwa jamii jinsi ya kufanikisha kupata hati miliki. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09