У нас вы можете посмотреть бесплатно LIVE: RAIS MAGUFULI ANAONGOZA MAZISHI YA BENJAMIN MKAPA, LUPASO, MASASI - 29/07/2020 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Fuatilia mbashara mazishi ya marehemu Benjamin Mkapa (Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania) yanayofanyika kijijini kwake Lupaso, katika Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara ambapo mazishi hayo yanaongozwa na Rais John Magufuli aliyeambatana na viongozi wengine wa kitaifa na wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali duniani. Benjamin Mkapa alifariki usiku wa Julai 23, 2020 kufuatia maradhi ya mshtuko wa moyo yaliyomkuta wakati akiapatiwa matibabu hospitalini jijini Dar es Salaam. #RIPMzeeMkapa #BurianiMkapa #MzeeMkapa #BurianiMzeeMkapa #MzeeMkapa #BenjaminMkapa #Mkapa Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: / azamtvtz ►INSTAGRAM: / azamsports2 ►TWITTER: / azamtvtz ►FACEBOOK: / azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz