У нас вы можете посмотреть бесплатно Kifo cha mwanafunzi Katoloni Machakos kimebainika ni juu ya homa kali ya mapafu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya Katoloni kaunti ya Machakos alifariki kutokana na homa kali ya mapafu. Uchunguzi wa maiti ukionyesha kuwa Consolata Nduku aliyefariki ghafla pindi tu baada ya kuugua alikuwa amekuwa na homa hiyo ya mapafu kwa muda kabla ya kifo chake. Familia ya marehemu ilishuhudia uchunguzi huo wa maiti uliofanywa katika hifadhi ya Montezuma. Familia ilikuwa imelaumu shule kwa kushindwa kupiga ripoti ya haraka pindi mwanafunzi huyo alipoanza kuugua