У нас вы можете посмотреть бесплатно RC Mara aingilia kati sakata la uharibifu wa Uwanja wa Karume, atoa maelekezo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima ameongozana na wajumbe wa kamati hiyo kuutembelea Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume mjini Musoma ili kuangalia marekebisho yaliyokuwa yakifanywa katika baadhi ya maeneo yaliyoharibiwa na tamasha lililofanyika uwanjani hapo hivi karibuni. Mkuu huyo wa mkoa amesikitishwa na kitendo hicho na kusema kinarudisha nyuma juhudi za kuendeleza michezo mkoani Mara hasa unapohamasisha watu kuchangia suala la michezo katika kujenga viwanja vya kuchezea.