У нас вы можете посмотреть бесплатно SIMULIZI :Viumbe sita vinavyoishi miaka mingi kuliko binadamu/maajabu ya baharini или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#story#simulizi#mwananchi Samaki kwa jina Jellyfish Turritopsis dohrnii hana ubongo na moyo na anadhaniwa kuwa kiumbe pekee asiyeweza kufa duniani; ainaishi katika maji ya kitropiki. Kama wanasayansi walivyothibitisha, jellyfish hawafi kwa uzee kwani huishi hadi umri fulani kisha wanaanza kuwa wadogo na kurudi kwenye hatua yao ya asili. Na kutoka hatua hiyo ya kuwa mchanga , anaanza tena kukua. Kwa bahati nzuri, hakuna kikomo kwa idadi ya nyakati ambazo wanaweza kufanya hivyo! Kwa hivyo, kiumbe huki kinaweza kuishi idadi isiyo na kipimo .