У нас вы можете посмотреть бесплатно MAHAFALI YA 6 MWAMBULA NURSERY SCHOOL AND DAY CARE CENTRE MAKAMBAKO YAFANA WATOTO WAONYESHA VIPAJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
wazazi wametakiwa kushirikiana na walimu katika kusimamia taaluma kwenye hatua za elimu ya awali ili kujenga msingi mzuri katika hatua nyingine za masomo ikiwemo madarasa ya juu kuanzia darasa la kwanza mpaka vyuo. wito huo umetolewa mjini makambako na aliyekuwa mbunge jimbo la Njombe mjini Edward mwalngo katika mahafali ya sita ya vituo vya kutoa elimu ya awawli vya mwambula nursery school and day care centre yalifanyika katika viwanja vya hoteli ya Deo sanga maarufu DS mjini hapa mwalongo amewataka wazazi walichukulie suala la elimu ya awali katika uzito mkubwa kwa kuchangia chakula na mahitaji mengine mhimu ikiwemo kulipa ada za wanafunzi kwa wakati mkurugenzi wa vituo vya mwambula nursery school and day care centre bwana JOFREY LUNGWEGA Pamoja na kuwashukuru wazazi kwa mwamko wa kuwaleta Watoto katika vtuo hivyo amesema wameanza ujenzi wa madarasa kwaajili ya shule ya msingi itayopokea Watoto wanaohitimu elimu ya awali. Amesema jumla ya watoto 450 wamehitimu elimu ya awali kutoka vituo 12 vya awali vya mwambula kati ya vituo walivyonanvyo 20 mjini makambako vyenye jumla ya wanafunzi 850. Ametoa wito kwa zazazi na walezi kuwapeleka Watoto katika vituo vyake kwaajili ya elimu ya chekekea na awali na masomo ya ziada [tution] kwa kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba sambamba na masomo ya pre form one kwa wanafunzi waliohitimu darasa la saba kipindi cha mwisho wa mwaka Watoto waliohitimu elimu ya awali wameonyesha umahiri mkubwa katika kusoma kuandika na kuhesabu yaani K3 Pamoja na michezo ya maigizo na ngoma. Nimezungumza na wazazi kupata maoni yao juu ya elimu itolewayo na mwambula nursery and day care centre na hapa wanaeleza. Mahafali ya sita ya vituo vya mwambula mwaka 2021 yamepambwa na maandamano ngoma ya asili ya kibena na ushiriki wa wageni mbalimbali maarufu.