У нас вы можете посмотреть бесплатно Busia sugar row-Swahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baada ya taarifa kwamba kiwanda cha kusaga sukari cha mumias kimeruhusiwa kuuza shamba la ekari 840 la kampuni ya busia sugar ili kurejesha deni lake la zaidi ya shilingi milioni mia moja kutoka kotini mwezi uliopita, hali imekuwa si hali kwa wakulima wa kutoka eneo la nambale. Wakulima hao wamekuwa mbioni kujaribu kuokoa shamba lao huku wakitaka mamlaka ya kupambana na ufisadi kuchunguza swala hili zima wanalosema limejaa ulaghai. Lakini swali ni je, ni nini haswa kinachotendeka kuhusu shamba hilo. Mwanahabari mohammed ali amepiga mbizi na kutuandalia taarifa ifuatayo