У нас вы можете посмотреть бесплатно KEEN FEEDER'S LIMITED KUTOKA ARUSHA KWENYE MAONESHO YA POULTRY SHOW 2024 DAR ES SALAAM. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kampuni ya KEEN FEEDER'S LIMITED kutoka Arusha ni kampuni inayojihusisha na wakulima pamoja na wafugaji wakiwa wamejikita zaidi patika pembejeo mbalimbali. Kwenye wafugaji wanavyo virutubisho ambavyo vinasaidia ukuaji na uzalishaji pia hasa kwa wafugaji wa kuku, ng'ombe na nguruwe. Katika maonesho ya poultry show wamekuja kuonyesha bidhaa zao zinazotumika na wafugaji hasa wa kuku, bidhaa ambzo zinasaidia ukuaji wa kuku, uzalishaji wa mayai bora lakini pia kumkinga na magonjwa mbakimbali. KEEN FEEDER'S wanapatikana Arusha na wanna branches katika maeneo tofauti tofauti nchi nzima.