У нас вы можете посмотреть бесплатно ASKARI MAGEREZA AMUUA ASKARI MWENZAKE KISHA NA YEYE KUJIUA NJOMBE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
                        Если кнопки скачивания не
                            загрузились
                            НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
                        
                        Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
                        страницы. 
                        Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
                    
ASKARI MAGEREZA AMUUA ASKARI MWENZAKE KISHA NA YEYE KUJIUA NJOMBE : Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake wa jeshi hilo Dickraka Mwamakula (24) huko Lilondo halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma. Hayo yamebainishwa leo Septemba 21,2025 na kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga wakati akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya jeshi la polisi mkoani humo. Amesema jeshi hilo lilikuwa linaendelea na uchunguzi kufuatia taarifa za kupotea kwa askari Dickraka Mwamakula ambaye alilipotiwa kupotea tangu Septemba 7,2025 ambapo mara ya mwisho alikuwa na askari mwenzake Erasto Mlelwa. Amesema askari hawa walielekea eneo moja lililofahamika kwa jina la Lilondo huko Madaba kwa ajili ya kuangalia Mashamba lakini baada ya hapo Mwamakula hakuweza kuonekana mpaka jeshi la polisi lilipoanzisha uchunguzi wa kina. Ambapo watuhumiwa hao wote wawili baada ya mahojiano waliweza kuonyesha mwili wa Dickraka mahali ulipo ukiwa na majeraha makubwa eneo la kisogoni lakini mwili wake ukiwa umechomwa moto na kufukiwa katika eneo la mashamba. Wakati jeshi la polisi linaenda hospitali ya Lilondo kwa ajili ya kumpata daktari ili kufanya uchunguzi wa mwili huo (postmortem) mtuhumiwa Erasto Mlelwa aliamua kujiondoa uhai wake kwa kuruka kutoka kwenye gari na kuangukia kichwa. Mwili wa marehemu Dickraka umehifadhiwa katika hospitali ya Kibena kwa ajili ya taratibu zingine za mazishi lakini mwili wa Erasto Mlelwa ambaye amejiua upo huko Madaba kwa ajili ya kusubiri uchunguzi wa daktari. : : SIMBA NA YANGA MECHI YA DERBY DERBY YA KARIAKOO KUFUNGWA KWA KANISA LA GWAJIMA JOSEPHAT GWAJIMA MBUNGE WA KAWE MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA RAIS SAMIA SULUHU JAKAYA KIKWETE WAZIRI MKUU MAJALIWA CCM DODOMA FAINALI YA BERKANE VS SIMBA UWANJA WA AMANI ZANZIBAR WAARABU MOROCCO WAIPIGIA SALUTI SIMBA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA #shorts #viralshorts #simbasc #simbavsrsbeekane #amanizanzibar #uwanjawaamani #benjaminmkapa #eliempanzu #yanga #yangasc #cafchampionleague #cafconfiderationcup #rsberkane #uwanjawamkapa #simbavsyanga #millardayo #globaltvonline #ayomatv #jambotv #wasafi #wasafitv #wasafimedia #wasafifm #ahmedally #cloudsfm #jeancharlesTelegram: Karibu upate Habari za uhakika hapa Champion Habari Habari za Siasa | Kijamii | Michezo | Burudani na Uchambuzi. WASILIANA NASI +255 655 100 695