У нас вы можете посмотреть бесплатно MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ATINGA MITAANI KUZUNGUMZA NA WANANCHI KWENYE BARZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT- Wazalendo Mhe. Othman Masoud Othman amesema ni muhimu kwa Wazanzibari wote kuendelea kuunga mkono maridhiano ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa kuwa kufanya hivyo ndio kupigania maslahi ya Zanzibar. Mh. Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameyasema hayo leo kwenye ziara maalum ya kukutana na Barza za chama hicho ndani ya Jimbo la Malindi kwa nia ya kujitambulisha na kubadilishana mawazo. Amesema kuunga mkono Serikali ya Umoja wa kitaifa kwa kila Mzanzibari ni jambo muhimu katika kusaidia kuacha urathi mzuri wa mshikamano na amani ya kweli kwa kizazi cha sasa na kijacho na kuifanya nchi kuwa imara zaidi kimshikamano.