У нас вы можете посмотреть бесплатно Mwanzi Uliopondeka - Bernard Mukasa | Lent | Kwaresma или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watch and listen to the fine tunes of St. Cecilia Choir - Babadogo as they perform Bernard Mukasa's Mwanzi Uliopondeka at Sacred Heart of Jesus Parish - Babadogo. ENJOY! SONG: Mwanzi Uliopondeka DIRECTOR: Kings ORGANIST @eugineshikanga5550 CAMERA: @odhiswright CHOIR: St. Cecilia Choir - Babadogo 1. Utambi mchafu wa Moshi mzito Hatauzima, kadhalika mwanzi, uliopondeka kamwe hatauvunja (Hatanitupa), Bwana Yesu, (milele yote) atanipigania (Hataniacha) Bwana Yesu,. (niangamie) atanipigania 2. Najua mtetezi wangu ni mwema, mwenye huruma, mwingi wa rehema, asiyeyahesabu maovu ya watu. 3. Nakiri Mimi mdhaifu kabisa, nimeanguka, kulitii neno, lakini nitamuangukia mwenyezi. 4. Nanyi ndugu zangu kwenu, natubu. Niliyofanya, sikuwapendeza, nisameheni nichukulieni pia. 5. Sikati tamaa kwa kuwa najua, Yesu Mwokozi amenisamehe, kwa kuwa hiyo ndiyo tabia ya Yesu #Lent #Kwaresma #youthforchrist #youthministry #wanasecilia #KMC-Babadogo