У нас вы можете посмотреть бесплатно NJIA 4 ZA KUJENGA UTAJIRI AMBAZO 90% YA WATU HAWAZIJUI KABISA | CFE. Victor Mwambene. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
1️⃣ The Law of Uncommon Path – Kanuni ya Njia Isiyo ya Kawaida Watu wengi hufuata njia ile ile ambayo kila mtu anafuata. Lakini mara nyingi utajiri hupatikana kwa watu wanaochagua njia tofauti na watu wengi. To build wealth, sometimes you must take a path that most people are not willing to take. 2️⃣ The Law of Personal Identity – Kanuni ya Utambulisho wa Nafsi Maisha yako ya kifedha mara nyingi huendana na jinsi unavyojiona wewe mwenyewe. Kama unajiona mtu wa kawaida, utaishi maisha ya kawaida. Lakini kama unajiona kama mtu mwenye uwezo mkubwa, utaanza kufanya maamuzi makubwa zaidi. Your financial life will always reflect the identity you believe about yourself. 3️⃣ The Law of Spiritual Capital – Kanuni ya Mtaji wa Kiroho Mbali na mtaji wa fedha, kuna kitu kinachoitwa spiritual capital. Huu ni mtaji unaotokana na maadili, uadilifu, imani na tabia nzuri ambazo hujenga uaminifu na fursa katika maisha. Sometimes the greatest opportunities in life come from character, integrity and faith. 4️⃣ The Law of Problem Solving – Kanuni ya Kutatua Matatizo Utajiri mkubwa duniani unatokana na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. Kadiri tatizo unaloweza kutatua linavyokuwa kubwa, ndivyo thamani yako na kipato chako vinavyoongezeka. Wealth is created by solving problems that many people face. 🎥 Tazama video hii mpaka mwisho ujifunze jinsi kanuni hizi nne zinavyoweza kubadilisha maisha yako ya kifedha.