У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbunge Adai Elimu ya Sasa Haina Uhusiano wa Maisha: 'Quadratic Equation Ina Uhusiano Gani' или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika juhudi za kukabiliana na tatizo la msongamano wa wanafunzi darasani katika shule za msingi na sekondari, Mbunge wa Kuteuliwa, Shamsi Nahodha, amependekeza walimu wakuu wapewe maelekezo maalum ya kuwagawa wanafunzi katika makundi mawili. Ameeleza kuwa kundi la kwanza linapaswa kuhusisha wanafunzi wa darasa la kwanza, la pili na la tatu. Mbunge huyu alikuwa akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.