У нас вы можете посмотреть бесплатно Watuhumiwa wa kundi la uhalifu Tabora wakamatwa msituni wakiwa na magunia 59 ya bangi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Polisi Mkoani Tabora imewakamata watu wanane wanaotuhumiwa kujihusisha na kikundi cha Sanjjo kinachodaiwa kuendesha matukio mbalimbali ya uhalifu na kujificha katikati ya msitu wa hifadhi ya Igombe. Watu hao wamekamatwa wakiwa na zaidi ya magunia 59 ya bangi, baada ya polisi kuvamia msitu wa hifadhi ya Igombe ikiwa ni muendelezo wa operesheni ya kuwasaka watuhumiwa hao baada ya hivi karibuni kumkamata kiongozi wao Ndodi Galamji aliyetoa taarifa za walipo wenzake.