У нас вы можете посмотреть бесплатно MAJIRANI WAPAZA SAUTI/NDUGU WA MAREHEMU KUHAMIA KWA MAREHEMU MUME AKIWA SAFARINI/NYUMBA NI YA WATOTO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tukio hili limetokea maeneo ya Kitunda jijini Dar es salaam ambapo majirani wa eneo hilo wamepaza sauti zao kuwalilia watoto pamoja na baba yao.Baada ya jirani yao mwanamke kufariki na mumewe akiwa safarini huku nhyumba ndugu wa marehemu kuhamia nyumbani kwa dada yao wakidai nyumba ni ya dada yao!Kitendo hiko hakijakubaliwa kabsa na majirani wa eneo hilo kwani wanadai nyumba hiyo ni ya mwanaume alimjengea mkewe.Kwahio wangemsubiri mume wa ndugu yao arudi ili waweze kuyaongea..! Fwatulia tukio hili uwasikie majirani mjumbe pamoja na ndugu kaka wa marehemu wakielezea. #geahhabibu #GeahTv,MatukioYaGeah