У нас вы можете посмотреть бесплатно Sauti ya Mawasiliano Yenye Kujenga na Kuunganisha Jamii или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kutana na Renancy R. Sailo, Afisa Uhusiano kutoka Kitengo cha Mawasiliano na Masoko, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, akitukumbusha kuhusu nguvu ya mawasiliano katika kujenga mahusiano imara na kuleta mabadiliko chanya. Kuelekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, kama mtaalamu wa mawasiliano, anasimama imara kuonesha kuwa mawasiliano ni nyenzo muhimu ya kuunganisha taasisi na jamii. Anaamini kuwa mawasiliano yenye heshima, uwazi na weledi ni daraja linalowezesha ushirikiano, uelewano na maendeleo endelevu. Anawahimiza wanawake wote kuthubutu kuzungumza, kusimamia mawazo yao, na kutumia sauti zao kuleta mageuzi yenye tija. Mwanamke anapothamini na kuitumia sauti yake ipasavyo, hufungua milango ya fursa si kwa ajili yake tu, bali kwa jamii nzima.