У нас вы можете посмотреть бесплатно Ekaristi.WATEULE WA BWANA -S. MUJWAHUKI | CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS Dsm:Mratibu - Aloyce Kipangula или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wimbo huu upo katika mkusanyiko wa nyimbo za Ekaristi zilizotungwa na Stanslaus Mujwahuki na kuimbwa na wanakwaya wakatoliki wa Parokia ya Chang'ombe (Chang'ombe Catholic Singers) unapatikana katika album inayoitwa MEMA UMETUJALIA chini ya uratibu wa Ndugu Aloyce Goden Kipangula. Kwa mahitaji ya DVD hii wasiliana na Mratibu wa Huhuma Aloyce Goden kwa simu namba 0655459766/0754459766 au Tembelea mawakala wa CD/DVD za injili karibu yako. MANENO YA WIMBO Wateule wa Bwana karibuni mezani pake, njoni, Bwana awaalika enyi wenye moyo safi x 2 Amewaandalia, leo, karamu takatifu, njoni mwili na damu yake chakula safi cha roho x 2 1. Kwanza tujitakase, nafsi zetu wenyewe, tukishakutakata, tujongee meza yake. 2. Karibuni mezani, Bwana awaalika, kwenye karamu yake, enyi wenye moyo safi. 3. Na tule mwili wake, na tunywe damu yake, ndicho chakula bora, cha roho zetu karibu. 4. Tusipokula mwili, na kunywa damu yake, tunazinyima roho zetu neema zake Bwana. #changombecatholicsingers #aloycegolden #mtakatifumikaelimalaikamkuu