У нас вы можете посмотреть бесплатно ZIJUE FURSA KATIKA BANDARI YA TANGA BAADA YA MABORESHO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Uwekezaji katika Bandari ya Tanga umeleta tija bandarini hapo ambapo kwa sasa mapato yameongezeka kutoka Bilioni 20 hadi Bilioni 38.7 sawa na ongezeko la asilimia 30. Uwekezaji katika Bandari hiyo umeanza kuzaa Matunda baada ya Serikali ya awamu ya Sita, inayoongozwa na Dk Samia Suluhu Hassan, kutumia zaidi ya Shilingi Bilioni 400 zikiwa ni juhudi za kufungua bandari ya Tanga na kupunguza mrundikano wa mizigo kwenye Bandari ya Dar es salaam. Hayo yameelezwa katika ziara ya Bodi ya Shirika la Uwakala wa Meli TASAC jijini Tanga wakati wakikagua Maendeleo ya Bandari kulinganisha na maendeleo yaliyokuwepo mwaka 2022 na Ufanisi wa Miundombinu yake,Kama anavyoeleza Meneja wa Bandari ya Tanga Masoud Mrisha Mbele ya Bodi hiyo. Imeandaliwa na Zaituni Mkwama Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09