У нас вы можете посмотреть бесплатно WALIOMUUA KINYAMA SHYROSE MWANAFUNZI CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAUAWA KWA RISASI MBEYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watuhumiwa watatu wa tukio la utekaji na mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Ndaki ya Mbeya, Shyrose Mahande, wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi wakati wakiwatoroka polisi baada ya kukamatwa na jeshi hilo mkoa wa Mbeya. Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Benjamin Kuzaga, amesema baada ya kuripotiwa taarifa hiyo september 14 mwaka huu, walianza ufuatiliaji na September 24 na 25 walifanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao Marwa Nyahega, Edward Kayuni na Websta Mwantebele ambao wamefariki