У нас вы можете посмотреть бесплатно WEDNESDAY NIGHT LIVE 01/03/2023: Ruta, Mlundwa na kisa cha Tony Rashid kupokonywa mkanda wa ABU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni Patrick Nyembera na magwiji wawili wa ngumi za kulipwa Tanzania. Hawa ni waamuzi wa ngumi za kulipwa Anthony Ruta na Emmanuel Mlundwa ambapo miongoni mwa mengi waliyofunguka ni kilichotokea hadi bondia Tony Rashid kuvuliwa ubingwa wa ABU baada ya pambano lake na Sabelo Ngeminyana lililofanyika Februari 24, 2023 Ubungo Plaza Dar es Salaam. Mlundwa na Ruta kwenye kipindi hiki cha #WednesdayNightLive wameanza kwa kusimulia mapito iliyopitia sekta ya ngumi za kulipwa tangu ilivyoanzishwa, muhusika mkuu akiwa ni Emmanuel Mlundwa. Waamuzi hawa wa ngumi za kulipwa pia ni viongozi wa kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania na ni mabondia wa zamani.... hivyo kuna mengi wamefunguka ikiwa ni pamoja nasheria na kanuni za ngumi za kulipwa Tanzania.