У нас вы можете посмотреть бесплатно MAVUNO BY BURKA YOUTH CHOIR OFFCIAL VIDEO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbingu zimekualika kushiriki mbaraka huu mkubwa. Ni wito wa kipekee kwa kila mtu aliyeipokea Imani si wa kukaa kimya, bali kuinuka na kutenda. "…ili imani yako isitindike; nawe utakapoongoka, waimarishe ndugu zako." Luka 22:32 Unapoutazama na kusikiliza wimbo huu… …utasikia zaidi ya sauti nzuri, picha yenye ubora utaguswa na ujumbe unaokumbusha kuwa wakati wa mavuno umefika. Ni wakati wa kujitoa kwa kazi ya Bwana. Ni wakati wa kuinua mioyo ya waliodhoofika. Ni wakati wa kushiriki tumaini kwa walio gizani. ..Moto wa huduma umeanza kuwaka.. Je, utabaki tu mtazamaji? Au utakuwa miongoni mwa wale wanaojibu kwa moyo, "Nipo Bwana, nitume mimi"? Karibu ushiriki nasi baraka hii. Like, share, comment, na subscribe kwenye channel yetu kwa nyimbo zaidi zenye kugusa maisha kiroho. Credits: Song Created : Sept 2023 Melody and Lyrics: Joseph Buchenja Arrangement : Ligobert Idd & Baraka Nnko Instrumental Track : Mica Tune Audio Recording Studio: SixDays Studio Arusha Mixing Studio: Icon Sound Studio Video Production : TVISION studio +255714352466 #Mavuno2025 #BurkaYouthChoir #TVISIONStudios #SDAYouthMinistry#VijanaBurkaChoir#Kwayaya vijanaburka