У нас вы можете посмотреть бесплатно MWENYEKITI WA WACHIMBAJI WA DHAHABU AHAIDI KUANDAMANA KWA DC или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Na Maduka Joel,Mbogwe Geita, Mwenyekiti wa wachimbaji wadogo wa Nyakafuru Warwa Katemi Warwa amesema wapo tayari kuandamana hadi kwa DC kudai uonevu ambao umeendelea kufanywa na na Kaimu Afisa madini wa Mkoa wa Kimadi wa Mbongwe. Katemi amesema hayo wakati alipofika kwenye Kijiji cha Kanegere namba mbili Wilayani humo na kukuta kazi za uzalishaji zikiwa zimesimama kwa madai ya kukatazwa kuuza mifuko inayosadikika kuwa na mawe ya dhahabu. Amesema ni vyema kwa serikali wakaliona suala hilo na kuwasaidia wachimbaji hao kutokana na juhudi ambazo wamekuwa wakizifanya za kujishughulisha hili kukuza pato lao na la familia. USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWE UNAPATA UPDATE MPYA KILA TUNAPO WEKA HABARI MPYA WAKATI WOWOTE BONYEZA HAPA CHINI KWENYE MAANDISHI YA BLUU https://www.youtube.com/channel/UCcCo... / kahamatvonline #KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE