У нас вы можете посмотреть бесплатно Burundi yatuhumu Pierre-Celestin Ndikumana kwa njama ya kumuua rais Pierre Nkurunziza или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali ya Burundi imemtuhumu mwanasiasa maarufu wa upinzani kwa kupanga njama ya kumuuarais wa nchi hiyo. Idara ya Polisi nchini humo inasema Mbunge Pierre-Celestin Ndikumana kutoka Muungano wa mpinzani Mkuu Agaton Rwasa, alipanga njama ya kumuua rais Pierre Nkurunziza, pamoja na maafisa wengine wa vyeo vya juu wakiwemo wabunge wawili. Hata hivyo, Mbunge Ndikumana ameyakana madai hayo na kusema ni njia ya serikali ya kutaka kuukandamiza upinzani na kuzua hali ya hofu nchini Burundi. Kutoka Bujumbura , Mwandishi wetu Ramadhani Kibuga ana taarifa zaidi.