У нас вы можете посмотреть бесплатно Kijana Apashwa Tohara Ya Kitamaduni Kawangware или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jamii ya waluhya ni mojawapo ya jamii za humu nchini zinazoenzi mno utamaduni wa upashanaji tohara kwa wavulana. Kila baada ya miaka miwili, miezi ya Agosti na Desemba wakati wanafunzi huwa likizoni, huashiria mwanzo wa msimu wa tohara katika jamii hii. Ukidhani wanaoshikilia mila hii ni wale walio mashinani pekee, umekosea. Leo tunakuletea taarifa inayoonyesha kuwa katika jamii hii, mila ni mila haijalishi inafanyikia wapi. Familia moja inayoishi mtaa wa Kawangware hapa Nairobi imeonyesha wananairobi kuwa muacha mila ni mtumwa kwa kuandaa sherehe ya kitamaduni ya kupasha mtoto wao tohara hapa nairobi. Mwanahabari wetu patrick injendi amekuwa akifuatilia sherehe hii kwa siku kadhaa na hii hapa taarifa hiyo kwa kina.