У нас вы можете посмотреть бесплатно MATENDO MADOGO [Na, Bernard Mukasa] KWAYA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU (SHJC - UDSM) (Official video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanadamu kwa asili yake ni kiumbe duni sana. Na akiambiwa aibadili dunia na kuitiisha si jambo jepesi ingawa ni wajibu wake. Hii hutokana na udogo wa matendo ambayo ndiyo anaweza kuyafanya. Lakini matendo madogo haya yakifanywa kwa upendo mkubwa, yanaigeuza kabisa Dunia kutoka sura tunayoiona sasa ya kuchosha na mahangaiko kurudi kwenye Dunia ile aliyoiumba Mungu. Karibu utafakari nasi juu ya maana na thamani ya matendo madogo haya ya mwanadamu yakifanywa kwa upendo mkubwa. Na Mungu atubariki! KWAYA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU (SHJC) PAROKIA YA CHUO KIKUU, DAR ES SALAAM WIMBO: Matendo madogo MTUNZI: Bernard Mukasa ORGANIST: Tumaini Swai AUDIO & VIDEO: Holy Trinity Studios Reach us through: Email: [email protected] Instagram: @kwaya_moyomtakatifu_udsm Facebook: Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - UDSM Mob: +255746547169/ +255754818559/ +255784165119 Tazama Zaidi: • TUSIHUKUMU WENGINE (Na, Dacha N. Thomas) -... • HAYUKO MBALI (Na, F.M. Shimanyi) - KWAYA Y... • NEEMA YA MUNGU (Na, Zacharia Gerald) - KWA... • SIFA NA SHUKRANI (Na, Paul Mike Msoka) - K... • MUNGU ANANIPENDA (Na, Dr. Kelvin Bongole) ... • NJONI TUSIFU (Video Lyrics) KWAYA YA MOYO ... Watch Others: • Nyimbo za Sifa na Kuabudu | Praise and Wor... • Sauti za Imani: Nyimbo za Kwaya | Voices o... • Nyimbo Maarufu za Kwaya | Our Choir's Popu... • BEST OF CHOIR HIT SONGS 2025 (Neema ya Mun... • TOP 10: Trending New Gospel Songs 2025 • BEST CATHOLIC HIT SONGS - KWAYA YA MOYO MT... • TOP 10: Trending New Gospel Songs 2025 • TOP 20 SONGS MOYO MTAKATIFU WA YESU - UDSM... Tafadhali like, share comment & subscribe kupeleka ujumbe wa Neno la Mungu kwa watu wote. Na Mungu atubariki. #Munguananipenda #nineema #MoyoMtakatifuwaYesuUDSM #Divinestudios #Holytrinitystudios #kwayakatolikitanzania #ParokiayaChuokikuu #chuokikuuchadaressalaam #NeemayaMungu #ukwakata #JimbokuuDaressalaam #Mkatoliki #Dr.KelvinBongole #radiomariatanzania #tumainimedia #jugomedia #rajoproductions #viralvideo #catholic #trending #neemayamungu #jinalakomaria #kwayakatoliki #kanisakatoliki #nyimbozakatoliki #rcsongs #nikwaneema #prayersongs #kenyagospel #worshipsongs #catholicsongs #familiatakatifu #servantmedia #choir #gospelmusic #music #neemayamungu #morningworshipsongs #hymns #praiseworshipmusic #praiseandworshipsongs #praiseworshipsongs #vibingmusic #trendingvideo #trending #livemusic #live #livedance #churchlive #churchlivestream #holymass #misatakatifu #kanisakatoliki #swahilimusic #swahilimusic #swahiliworshipsongs #swahilipraiseandworship #swahilisound #swahilitotheworld #university #universityparish #udsm #chuokikuuchadaressalaam #kwayayachuo #universitychoir #studentlife #schoollife #catholicchurchsongs #kenyagospel #tanzaniacatholicsongs #catholicmass #catholicchurch #tafakari