У нас вы можете посмотреть бесплатно KUTOA SEHEMU ZENYE ASILI TOFAUTI | Darasa la 5,6,7 | Kwa Kutumia KDS | Mifano 5 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SOMO LA 06: KUTOA SEHEMU ZENYE ASILI TOFAUTI Darasa la 5, 6 na 7 | Hesabu ya Sehemu Katika somo hili, tutajifunza jinsi ya kutoa sehemu zenye asili tofaut. Mifano tutakayojadili: 1. 3/5 - 1/4 = 2. 3/4 - 4/9 = 3. 5/6 - 4/7 = 4. 6/8 - 2/5 = 5. 6/7 - 4/14 = Utakayojifunza: · Kutafuta KDS · Kubadilisha sehemu kuwa na asili moja · Kutoa nambari na kurahisisha jibu · Kuthibitisha kama jibu linaweza kurahisishwa zaidi Video hii inafaa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, pamoja na wazazi wanaowasaidia watoto wao kwenye somo la hesabu. Usisahau Kujiunga na Channel yetu: Bonyeza SUBSCRIBE na LIKE video hii ikiwa imekusaidia. Washa KENGELE ili upate taarifa za video mpya kila wiki! Asante kwa kutazama. #KutoaSehemu #SehemuZenyeAsiliTofauti #HesabuDarasa5 #HesabuDarasa6 #HesabuDarasa7 #ElimuTanzania #KDS #KigaweChaDhahiriShirikishi #SomolaHesabu #MathematicsInSwahili #ShuleZaMsingi #TanzaniaEducation