У нас вы можете посмотреть бесплатно SABABU ZA MUNGU KUWA KIMYA KWAKO // BADILIKA HARAKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MITHALI 1: 24 Kwa kuwa nimeita, nanyi mkakataa; Nimeunyosha mkono wangu, asiangalie mtu; 25 Bali mmebatilisha shauri langu, Wala hamkutaka maonyo yangu; 26Mimi nami nitacheka siku ya msiba wenu, Nitadhihaki hofu yenu ifikapo; 27Hofu yenu ifikapo kama tufani, Na msiba wenu ufikapo kama kisulisuli, Dhiki na taabu zitakapowafikia. 28 Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione. 29 Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha BWANA. 30Hawakukubali mashauri yangu, Wakayadharau maonyo yangu yote. 31 Kwa hiyo watakula matunda ya njia yao, Watashiba mashauri yao wenyewe. 32Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza. 33Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya. Maarifa ya Ki-Mungu @SIRI ZA BIBLIA www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 https://linktr.ee/sirizabiblia Instagram Account / siri_za_biblia SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI: M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI