У нас вы можете посмотреть бесплатно REA kuongeza mikopo nafuu ya ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta vijijini или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakala wa Usambazaji Nishati Vijijini (REA) umesema utaendelea kuboresha huduma zake ikiwa ni pamoja na kutoa mikopo nafuu ya kuwezesha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta vijijini ili kutoa fursa kwa wananchi wengi zaidi kunufaika na huduma hizo katika kujiongezea kipato chao. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonyesho ya 47 ya kimataifa ya biashara Mkurugenzi wa hudima za ufundi REA Mhandisi Jones Olotu amesema Tanzania ni mahali sahihi kwa uwekezaji hivyo watahakikisha wanasambaza nishati ya umeme na ya kupikia katika maeneo yote nchini.