У нас вы можете посмотреть бесплатно Nchi gani zina silaha za nyuklia na kwa nini nchi nyingine zinazuiwa kuzimiliki? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni miaka 80 tangu Marekani iliporusha mabomu ya atomiki nchini Japan. Wakati huo, Marekani ilikuwa nchi pekee duniani iliyokuwa na uwezo wa nyuklia, lakini leo nchi tisa zina silaha za nyuklia. Hapa tunaelezea jinsi nchi hizo zilivyounda hazina zao za silaha za nyuklia na kwa nini nchi nyingine zinazuiwa kuzimiliki. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili