У нас вы можете посмотреть бесплатно 🛑 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa wilaya ya longido Mkoani Arusha Salum Kalli,asubuhi na mapema ametembelea shule ya Wasichana ya Kimkoa Longido Samia Girls iliyopo wilaya ya Longido. Kalli,ametumia muda huo kupata chai ya Asibuhi na wanafunzi hao walioonesha kufurahishwa na tukio hilo la kiongozi huyo. "Tunamshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kujitoa kwake na kupata chai ya Asubuhi na wanafunzi kama unavyosikia hizo ni kelele za furaha kwa tukio hili kwani haijawahi tokea kwa kiongozi kuja kwetu na kutuletea vitafunwa na kunywa pamoja na wanafunzi chai ya asubuhi hakika Mkuu wa wilaya anatuonesha ni namna gani hasa kiongozi anapaswa kuwa,..Alisema Neema Musaa Head Girl wa longido Samia. Aidha Kalli,amesema serikali itaongeza mita 300 za lami hadi shuleni hapo. #ccm #kigoma #live #tanzania #azamtv #ikulumawasiliano #breaking_news #magazeti #habari #quotes